Ndecho Hygiene

Ndecho Hygiene Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Ndecho Hygiene, Cleaning service, Mwenge, Dar es Salaam.

15/08/2026

Nilitaka niwaringishie ubuyu nikakumbuka nauza sabuni. Karibuni maboss zangu 😊😊nakuletea sabuni,ndoo, mifagio, mabrush, vizoleo nk hadi mlangoni kwako. Simu moja β˜ŽοΈπŸ“ž0750632628

14/08/2026

Wikendi hii, usitoke bila ulinzi wako! πŸ›‘οΈπŸ§΄

Beba Ndecho Antibacterial Spray yako popote uendapo. Ni rahisi kubeba na inapatikana katika sizes mbalimbali, ikiwemo ndogo inayotoshea kwenye pochi yako.

Tumia unapokwenda chooni ili kusaidia kuua vijidudu kwenye sehemu za choo na seat kabla ya kutumia. Jilinde, tumia choo kwa uhuru na amani bila hofu ya vijidudu vinavyoweza kusababisha maambukizi na magonjwa k**a vile UTI

Usisubiri Jumatatu uanze kuugua, kuwa na Ndecho yako tayari! πŸ’š

πŸ“ Mwenge
πŸ“ž 0750632628
πŸ“² Instagram: Antibacterials | Sabuni, Sprays & shampoo

Dumu la lita tano kwa shilingi 8,500 tu. Tuwapendeje wateja wetu 😊❀️
10/08/2026

Dumu la lita tano kwa shilingi 8,500 tu. Tuwapendeje wateja wetu 😊❀️

06/08/2026

Kwa mahitaji ya sabuni bora za usafi na vifaa vya usafi, karibu Ndecho hygiene πŸ™πŸ™

06/08/2026

Bidhaa zote hizo utazipata Ndecho hygiene.
Kwa Mawasiliano piga namba ☎️☎️0750632628

06/08/2026

Karibuni Ndecho hygiene kwa sabuni bora za usafi.
Tunapatikana πŸ“πŸ“Mwenge karibu na uwanja wa KMC.

Kwa Mawasiliano piga namba πŸ“žβ˜ŽοΈ0750632628

05/08/2026

Nawapenda sana wateja zangu πŸ₯°. Wateja wetu ni wafalme πŸ˜ŠπŸ™

05/08/2026

Taarifa kwa ummaπŸš¨πŸ””β€ΌοΈ
Sabuni ya maji lita 20 kwa 32,000 tu. Sabuni ya usafi wote, kufua, kudeki, kuosha vyombo, kuosha magari, carpet nk.

Kwa mawasiliano piga nambaβ˜ŽοΈπŸ“ž 0750632628

Karibu Ndecho hygiene kwa sabuni bora za usafi.

04/08/2026

Sabuni za vipande za asili zinapatikana kwetu Ndecho hygiene. Karibu sana.

Kwa Mawasiliano piga namba ☎️☎️ 0750632628

30/07/2026

Sabuni za vipande nzuri za kuogea,zinatibu ngozi kwa haraka zaidi na kuipa afya ngozi yako.

K**a una changamoto ya harara, chunusi, utangotango, ukurutu, mapunye, au pumu ya ngozi. Basi hii sabuni ndio suluhisho lako.

Haina viambata sumu, hata watoto wadogo wanaweza kuogea.

Kwa mawasiliano piga namba 0750632628.

Tupo Mwenge karibu na uwanja wa KMC.

Address

Mwenge
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ndecho Hygiene posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share