26/10/2026
Gari yako inathamani sana, je? Unaitunza vipi katika kuisafisha.
Unatumia nini kusafisha gari yako?
Sabuni zisizo sahihi na vifaa dhaifu hupoteza rangi, mvuto wa gari yako.
Siti zako unazifuaje? Unazitoa unapoteza muda mwingi sana na unaharaka na matumizi ya gari yako. Usipoteze muda osha kisasa bila kuzitoa na kukausha hapo hapo kisasa.
Tumekuletea huduma bora ya kuosha siti, roof, engn, wax polish kwa mashine nzuri na materials salama kwa gari yako
Piga simu upate msaada.
0719082017.