Queen Cleaning Service

Queen Cleaning Service Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Queen Cleaning Service, Cleaning service, Dar es Salaam.

queen cleaning services,ni kampuni Bora inajishuhulisha na usafi wa majumbani,kama kufua nguo ,kufanya usafi wa nyumba nzima ,usafi wa nje na pia tunapuliza dawa kwa ajili ya kuulia wadudu
0746914905

06/07/2026

Kwa usafi wa paving mazingura na nyumba usisite kutupigia

30/06/2026

Deep cleaning ya kiwango

30/06/2026

Karib jwa huduma bora za usafi

18/06/2026
24/05/2026

Weweeeee ,mng'aoo wa uhakika

0746914905Usaf wa kuaminika
24/05/2026

0746914905
Usaf wa kuaminika

NYUMBA YAKO INAWEZA KUWA SAFI… LAKINI JE, INAONEKANA KIWANGO CHA KISASA? 👀✨Vumbi kwenye sofa, madoa ya tiles, harufu zis...
16/05/2026

NYUMBA YAKO INAWEZA KUWA SAFI… LAKINI JE, INAONEKANA KIWANGO CHA KISASA? 👀✨

Vumbi kwenye sofa, madoa ya tiles, harufu zisizoeleweka kwenye mattress au jikoni — vitu vidogo vinavyoshusha hadhi ya nyumba bila kugundua 😮‍💨

🧼 Queen Cleaning Service tunakuja kubadilisha kabisa muonekano wa nyumba yako kwa usafi wa kitaalamu unaoonekana kwa macho na kuhisiwa kwa harufu nzuri ya kuvutia ✨

✔️ Deep Cleaning
✔️ Sofa & Carpet Cleaning
✔️ Mattress Cleaning
✔️ Kitchen Detailing
✔️ Fumigation
✔️ Move In / Move Out Cleaning
Tunatumia vifaa vya kisasa na bidhaa salama kuhakikisha nyumba yako inabaki: ✨ Safi
✨ Inang'aa
✨ Inavutia
✨ Inapendeza kuishi
🏠 Iwe apartment, nyumba mpya au nyumba ya familia — usafi wa kiwango cha juu huongeza hadhi ya nyumba yako instantly 🔥

📍 Dar es Salaam

📞 0746914905

Usisubiri wageni wakushangae kwa uchafu… wafanye washangae kwa usafi wa nyumba yako 😍✨
Queen Cleaning Service

“Usafi unaoendana na hadhi ya nyumba yako.”

😂🏠 UKIKAA SANA BILA USAFI… HATA VUMBI LINAKUITA MPANGAJI MWENZA!Madoa kwenye sofa, tiles zimechoka, bafuni hapavutii ten...
16/05/2026

😂🏠 UKIKAA SANA BILA USAFI… HATA VUMBI LINAKUITA MPANGAJI MWENZA!
Madoa kwenye sofa, tiles zimechoka, bafuni hapavutii tena? 😭

Usikubali nyumba yako ipoteze hadhi yake!
✨ Queen Cleaning Service tunakuja kubadilisha uchafu kuwa muonekano wa kifahari ndani ya muda mfupi 💯

🧼 Deep Cleaning
🛋 Sofa & Carpet Cleaning
🚿 Bathroom Detailing
🐜 Fumigation
🏡 Move In / Move Out Cleaning
✔️ Usafi wa kiwango cha juu
✔️ Harufu nzuri ya kudumu
✔️ Timu yenye uaminifu na umakini mkubwa
📞 0746914905
📍 Dar es Salaam

Nyumba safi = Maisha matamu 😎✨

Address

Dar Es Salaam
1268/89

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Queen Cleaning Service posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share