SMART HOUSE MAIDS

Call Directions Contact the business

SMART HOUSE MAIDS we help you to get a proffesianal staffs

K**a bado unahangaika kupata mfanyakazi tupo hapa kukusaidia
27/10/2026

K**a bado unahangaika kupata mfanyakazi tupo hapa kukusaidia

24/09/2026
24/09/2026

Dada wa kazi 💪🏽❤️ Usisubiri kuthaminiwa—jiongeze na ujithamini! Kila ujuzi unaoongeza huinua thamani yako. Endelea kujifunza, kukua na kung’aa zaidi kila siku! ✨🔥

15/09/2026

Ebu ifike mahali mbadilike 🤗🤗🤗

08/09/2026

Ila meta hii tabia ya kufunga WhatsApp mnanitesa Sana, anayejua au anamjua mtu wa kushughulikia hili nakuomba please +255696090101

03/09/2026

Wadada wa kazi kuna changamoto gani kufanya kazi mikoani nje ya dar....????

02/09/2026

😜 K**A UNATAKA STANDARD SERVICE, USIBANE BUDGET YAKO!

Unataka Dada wa kazi wa viwango, mwenye uzoefu, uelewa mzuri na anayekidhi mahitaji ya nyumba yako… halafu bado unang’ang’ania budget ile ile ya mwaka 2025 😂😂

Na unajua kabisa nyumba yako ni kubwa, watoto wapo, kazi ni nyingi… kweli??? 😅

Kumbuka: mahitaji yakiongezeka, budget nayo inapaswa kwenda sambamba.

🏠 K**a unahitaji Dada wa kazi anayekufaa kulingana na mahitaji ya familia yako, wasiliana nasi sasa.

📞 +255 696 090 101

Smart Hope Tanzania — Tunakusaidia kupata mfanyakazi anayekufaa. 💙

02/09/2026

😆😆 Hadi leo bado unatuma nauli kijijini kwa ajili ya Dada wa kazi, halafu mwisho wa siku unaambulia “BLOCKED”? 😂😂
Acha stress za kutuma pesa bila uhakika!
🏠 Smart Hope Tanzania tunakusaidia kupata Dada wa kazi waliopatikana na kuchaguliwa kulingana na mahitaji ya familia yako.
Usipoteze muda, pesa na amani ya moyo. ❤️
📲 Fanya booking sasa: +255 696 090 101
Smart Hope Tanzania — Tunakuunganisha na mfanyakazi anayekufaa. 💙

02/09/2026

KWA NINI MABOSS WENGI HAWAPENDI WAFANYAKAZI WAKUTANE WAKATI WA KUBADILISHANA KAZI? 🤔

Boss anapomtoa mfanyakazi mmoja na kumleta mwingine, mara nyingi hapendi kuwaweka wote pamoja. Lakini shida hasa huwa ni nini?

Je, ni kwa sababu:
🔹 Anaogopa mfanyakazi wa zamani kumweleza mpya mambo ya ndani ya nyumba?
🔹 Anaogopa kuibuka kwa malalamiko au migogoro?
🔹 Anaogopa mfanyakazi mpya kupewa taarifa ambazo hakupaswa kujua?
🔹 Au ni kwa sababu tu anataka kila mfanyakazi aanze kazi bila kuathiriwa na aliyemtangulia?

Wewe k**a Boss, unapobadilisha mfanyakazi huwa unawafungamanisha wote au kila mmoja anaondoka na mwingine anaingia? 😅

Andika maoni yako hapa chini 👇🏽
Unahitaji Dada wa kazi +255696090101

Address

Kinondoni Dar Es Saalam
Dar Es Salaam

Telephone

+255683893209

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when SMART HOUSE MAIDS posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to SMART HOUSE MAIDS:

Shortcuts

Share

Nearby cleaning services