Florah_homecare

Directions Contact the business

Florah_homecare PATA BIDHAA BORA ZA USAFI WA MASOFA ,TILES,MAJIKO,FRIJI,PASI,MASINKI NA HUDUMA YA KUSAFISHIWA KWA GHARAMA NAFUU,POPOTE ULIPO TUNAFIKA KWA WAKATI.

03/10/2026
We have NEW ORIFLAME DIRECTOR Tanzania, dada mmoja mpambanaji aliyeweka visingizio pembeni,  ameamua kupambania ndoto za...
03/10/2026

We have NEW ORIFLAME DIRECTOR Tanzania, dada mmoja mpambanaji aliyeweka visingizio pembeni, ameamua kupambania ndoto zake kupitia hii fursa ya ORIFLAME 🥰🥰

UNATAKA KUJIFUNZA ZAIDI HII BIASHARA NITAFUTE
+255713130116
WHATSAPP ONLY

Wale waliosema biashara haifanyi kazi, njooni mnisaidie kumpongeza NEW ORIFLAME BRAND MANAGER 🥰🥰🥰HII NDIO MAANA HALISI Y...
03/10/2026

Wale waliosema biashara haifanyi kazi, njooni mnisaidie kumpongeza NEW ORIFLAME BRAND MANAGER 🥰🥰🥰

HII NDIO MAANA HALISI YA KUFANYA KAZI KWA MUENDELEZO

KEEP GOING GIRL

Dears, kuna wale watu waliotumia vipako vingi usoni, na ngozi ikaharibika, hii seti ni kwaajili yako 🥰 Ni nzuri sana kwa...
03/10/2026

Dears, kuna wale watu waliotumia vipako vingi usoni, na ngozi ikaharibika, hii seti ni kwaajili yako 🥰

Ni nzuri sana kwa kurekebisha ngozi yako iliyoharibiwa na vipako, imetengenezwa na vitu asili NANASI &ALOVERA

Hii inasaidia taratibu kurudisha ngozi yako k**a awali

Karibu niwahudumie
+255713130116
WhatsApp me

Wale wenye jasho jingi linalopelekea nguo kuloa nawaita hapaHii deodorant inakufanya ujiamini kila uendako, inakata jash...
23/09/2026

Wale wenye jasho jingi linalopelekea nguo kuloa nawaita hapa
Hii deodorant inakufanya ujiamini kila uendako, inakata jasho jingi, inanukia kwa muda mrefu na kwapa haliwi jeusi

Kwa sh 25000 tu unajipatia yako

WhatsApp me +255713130116 kwa Masada wa haraka

Una changamoto ya NGOZI kuwa KAVU??Umetumia bidhaa nyingi bila matokeo??Hii sasa ni yako kutoka ORIFLAME 🥰🥰 UKIPAKA KWEN...
09/09/2026

Una changamoto ya NGOZI kuwa KAVU??
Umetumia bidhaa nyingi bila matokeo??
Hii sasa ni yako kutoka ORIFLAME 🥰🥰 UKIPAKA KWENYE NGOZI UNAKAA NA UNYEVU SAA 48👌

TEAM SAFARI MPOO
WATU WA MIKOA YA BARIDI MPOO

HAKIKISHA HUKOSI HII LOSHEN, INATUMIKA KIDOGO KWA MUDA MREFU

Inapatikana kwa sh 130000tuu
Wasiliana nami ujipatie yako

+255746909434 PIGA/WHATSAPP

Leta mng'ao, harufu nzuri na ulaini kwa ngozi yako🥰😘 Ina harufu nzuri ya kipekee isiyoisha haraka mwilini Inaifanya ngoz...
09/09/2026

Leta mng'ao, harufu nzuri na ulaini kwa ngozi yako🥰😘

Ina harufu nzuri ya kipekee isiyoisha haraka mwilini

Inaifanya ngozi kuwa na unyevu muda wote🥰

Inatumika kidogo kwenye eneo kubwa 😍

Sasa inapatikana kirahisi kwangu kwa sh 60000 tu

Nipigie/ WhatsApp me
+255746909434

Unaweza kuwa mpenzi wa QUALITY PERFUMES ila hujajikusanya, usijali my friend hii hapa PERFUMED BODY CREAM, ni loshen nzu...
09/09/2026

Unaweza kuwa mpenzi wa QUALITY PERFUMES ila hujajikusanya, usijali my friend hii hapa PERFUMED BODY CREAM, ni loshen nzuri inayonikia k**a perfume ya 200,000

Kwa sh 60000 tuu unanukia kitajiri 😍😍
WhatsApp/ piga
+255746909434

Dears uamuzi ni wako 😍Je unapenda perfumes zinazonikia maua, chocolate's, Woody's??Hii loshen ni yako, usikae kinyonge n...
09/09/2026

Dears uamuzi ni wako 😍
Je unapenda perfumes zinazonikia maua, chocolate's, Woody's??
Hii loshen ni yako, usikae kinyonge njoo unukie kiboss

Kwa sh 60000 tu unapata hii loshen
Wasiliana nami

+255746909434
WhatsApp au piga

Address

Dar Es Salaam
255

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Florah_homecare posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Florah_homecare:

Shortcuts

Share

Nearby cleaning services