Fundi A/c za Magari na Nyumba

Call Directions Contact the business

Fundi A/c  za Magari na Nyumba Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Fundi A/c za Magari na Nyumba, Kinondoni.

Tunatengeneza na kufanya service ya A/C kwa magari aina zote 🛠️🚗
wauzaji wa spea za ac za gari design zote ⚙️❄️
kinondoni makaburini 📍
tuna huduma ya kumfuata mteja alipo (unalipia usafiri) 🚚🗺️
0766458500 📞
0653927253 📱

22/08/2026

Mrema car ac You're Always comfortable with us

21/08/2026

Just a quick reminder! 🔔 🫡

21/08/2026

Time to get this Mercedes-Benz AC compressor replaced! 🛠️

29/05/2026

RANGE ROVER SPORT(3.0L,V6) SUPER CHARGED
mteja wetu alikuja na malalamiko ya kwamba kuna sehemu alipeleka gari yake akaambiwa shida ni ac compressor, alituletea Mrema car ac kupata uthibitisho 🧐
Baada ya kufanya diagnosis tukagundua tatizo sio ac compressor yote kwa ujumla,ni part ya ac compressor ndo ilikua na tatizo(compressor magnet) 🛠️
Tuka badili ac magnet na akaendelea kuitumia k**a kawaida 👍
Ukija Mrema car ac faida unayopata moja wapo ni kufanyiwa diagnosis kwa uaminifu sana na tunajaribu kila tunaloweza upate huduma kwa gharama nafuu,just imagine mteja gharama aliyotumia haifiki ata 1/4 ya gharama alizopewa awali 💰
Unaitaji the best kwenye hii business? 💯
Tuchek Mrema car ac 📞
0766458500 📱
0653927253 📲
"MREMA CAR AC YOU'RE ALWAYS COMFORTABLE WITH US " 😊

29/05/2026

JAGUAR SOVEREIGN 4.2, XJ6 V6
Mteja wetu wa kibada alitu chek tukamrekebishie mfumo wake wa ac 👨‍🔧
Baada ya kufika pale tuligundua haya machache,mosi hii gari ni ya 80's kwa iyo mfumo wake ulikua umeandamwa sana na leakage 😥
Pili ni mfumo wa kizamani kwa iyo tukamshauri mteja tu design mfumo wa kisasa na ambao utakua haupatwi patwi na leak za mara kwa mara 💡
K**a una gari yako ya kizamani na unaitaji irekebishwe au ku desgn mfumo,au haina mfumo wa ac? Watu sahihi ni mrema car ac,tuchek 📞
0766458500
0653927253
"MREMA CAR AC YOU'RE ALWAYS COMFORTABLE WITH US " 😎

29/05/2026

Range Rover Sport (3.0L, V6) Supercharged
Changamoto aliyokuja nayo mteja ni akiwasha ac inakaa muda sana mpaka apate ubaridi unaofaa 🌬️🥶
Baada ya kufanya diagnosis tukagundua tatizo ni ac compressor ina fail 🛠️😔
Kwa huduma k**a hii na nyngne zinazofanana na izi kuhusu ac ya gari lako usisite kutuchek Mrema car ac 🚗❄️
0766458500
0653927253
"Mrema Car ac You're Always comfortable with us 🫶 "

29/05/2026

Landrover discovery 4(3.0)
Mteja wetu wa mtoni kijichi alitupigia simu tukamfanyie ac service, mana alikua hapati baridi kabisa japo gari ilikua mpya kabisa toka bandarini 🥶❄️
Tukafika tukafanya inspection na kumrekebishia gari yake 🛠️🚗
Ukiitaji huduma ya kufuatwa popote ulipo ndani na nje ya dar,tuchek 📞📍
0766458500 📲
0653927253,utalipia gharama za usafiri 💰🛣️
"Mrema Car ac You're Always comfortable with us 🫶 "

Landrover discovery 4(3.0l)Mteja wetu wa maeneno ya kibada msikitini 📞Alitupigia simu twende kumfanyia ac service 🛠️Tuka...
29/05/2026

Landrover discovery 4(3.0l)
Mteja wetu wa maeneno ya kibada msikitini 📞
Alitupigia simu twende kumfanyia ac service 🛠️
Tukafika na tukafanya service ya ac ikiwemo kubadilisha ac air cleaner ambazo zinapatikana ofisini kwetu 🏬
Unaitaji huduma ya kufuatwa popote ulipo? Tuchek 📍
0766458500 📱
0653927253,utalipia gharama za usafiri 💰
"Mrema Car ac You're Always comfortable with us 🫶 😌""

Address

Kinondoni

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Telephone

+255653927253

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Fundi A/c za Magari na Nyumba posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Fundi A/c za Magari na Nyumba:

Shortcuts

Share