Kilimo Safi

Kilimo Safi Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Kilimo Safi, Cleaning service, Masaki, Kahama.

Karibu SMART PRODUCTS ujipatie dawa ya kuondoa uchafu kwenye Tiles & sink pamoja na harufu mbaya chooni kwa bei nafuu ka...
18/05/2025

Karibu SMART PRODUCTS ujipatie dawa ya kuondoa uchafu kwenye Tiles & sink pamoja na harufu mbaya chooni kwa bei nafuu kabisa wasiliana nasi kwa namba 0758 069543.

Karibu mteja ujipatie sabuni ya kudekia, kufulia, kuoshea vyombo hapa SMART PRODUCTS
14/05/2025

Karibu mteja ujipatie sabuni ya kudekia, kufulia, kuoshea vyombo hapa SMART PRODUCTS

Hiyo ndiyo bidhaa yetu iko sokoni dai sasa
11/05/2025

Hiyo ndiyo bidhaa yetu iko sokoni dai sasa

Karibu SMART PRODUCTS ujipatie sabuni ya kufulia ambayo haipaushi nguo wala kuchubua mikono kwa bei poa. Wasiliana nasi ...
11/05/2025

Karibu SMART PRODUCTS ujipatie sabuni ya kufulia ambayo haipaushi nguo wala kuchubua mikono kwa bei poa.
Wasiliana nasi kwa namba 0717 830895/0758 069543.

Ni sabuni ambayo iko vizuri sana
01/04/2025

Ni sabuni ambayo iko vizuri sana

Ujumbe Muhimu kwa Wakulima. Watu wengi wamekuwa wakihangaika na Changamoto ya kutopata mazao mengi kwenye Mashamba yao. ...
21/07/2023

Ujumbe Muhimu kwa Wakulima.

Watu wengi wamekuwa wakihangaika na Changamoto ya kutopata mazao mengi kwenye Mashamba yao.

Wamejaribu Kutumia Njia Mbali mbali k**a kuboost Madawa bila Mafanikio.

Bila Kujua Siri ipo kwenye Virutubisho watakayotumia ndo Tiba ya Kudumu kwenye Changamoto Yao.

Kwa jina naitwa Happiness peter.

Ninawasaidia Wakulima kutatua changamoto ya kupata mazao mengi bila ya kujali kuna mvua au hakuna mvua.

Nataka kuandaa darasa la BURE kwa ajili yako la namna ya kutatua changamoto ya kutopata mazao mengi.

K**a utapenda kuhudhuria darasa hilo naomba ucomment namba yako ya simu ya watsapp hapa chini au nitumie ujumbe kwenda namba 0715430895 ya WhatsApp].

Ikisha nitawasiliana na wewe ili kuelewa vizuri kuhusu changamoto uliyokuwa nayo nipate kukuandalia wewe pamoja na wenzako darasa BURE kabisa kupitia group la watsapp.

Comment namba yako hapa chini mara moja kabla ya group letu kujaa.

Ni mimi mwenye kujali mafanikio yako,

Happiness Peter.

Ujumbe Muhimu kwa Wanaume na WanawakeWatu wengi wamekuwa wakihangaika na Changamoto ya Pressure. Wamejaribu Kutumia Njia...
29/06/2023

Ujumbe Muhimu kwa Wanaume na Wanawake

Watu wengi wamekuwa wakihangaika na Changamoto ya Pressure.

Wamejaribu Kutumia Njia Mbali mbali k**a kumeza Madawa bila Mafanikio.

Bila Kujua Siri ipo kwenye Lishe watakayotumia ndo Tiba ya Kudumu kwenye Changamoto Yao.

Kwa jina naitwa Happiness Peter.

Ninawasaidia Wanaume na Wanawake kutatua changamoto ya Pressure bila ya kujinyima kula kupitia njia maalumu ya Lishe na Virutubisho.

Nataka kuandaa darasa la BURE kwa ajili yako la namna ya kutatua tatizo la Pressure.

K**a utapenda kuhudhuria darasa hilo naomba ucomment namba yako ya simu ya watsapp hapa chini au nitumie ujumbe wa watsapp kwenda namba [0715430895 WhatsApp].

Kisha nitawasiliana na wewe ili kuelewa vizuri kuhusu changamoto uliyokuwa nayo nipate kukuandalia (wewe pamoja na wenzako) darasa BURE kabisa kupitia group la watsapp.

Comment namba yako hapa chini mara moja kabla ya group letu kujaa.

Ni mimi mwenye kujali mafanikio yako,

Happiness Peter.

Mkurugenzi, Happiness Peter.

Address

Masaki
Kahama

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kilimo Safi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share