Gwaky investments ltd

Gwaky investments ltd ĢIL

Nikitoa Neno la shukrani katika sherehe ya harusi ya Mdogo wangu Gertrude Shayo
12/01/2026

Nikitoa Neno la shukrani katika sherehe ya harusi ya Mdogo wangu Gertrude Shayo

02/01/2026
Mungu awatangulie katika Mwaka mpya 2026.
31/12/2025

Mungu awatangulie katika Mwaka mpya 2026.

Happybirthday Babu Nelson Mungu Akupe miaka mingi na Hakima ya Bwana iwe juu yako Babu
20/12/2025

Happybirthday Babu Nelson Mungu Akupe miaka mingi na Hakima ya Bwana iwe juu yako Babu

Babu Nelson na Hellen wamepokea sakramenti ya Ubatizo mtakatifu.Sifa utukufu kwa Bwana  Neno la Bwana Mathayo 19:14
30/06/2025

Babu Nelson na Hellen wamepokea sakramenti ya Ubatizo mtakatifu.Sifa utukufu kwa Bwana Neno la Bwana Mathayo 19:14

Kutokwenda ibadani kwasababu yoyote ile, maana yake umekipa kipaumbele kitu kilichokuzuia kuliko Mungu. Kwa Mungu hakuna...
22/06/2025

Kutokwenda ibadani kwasababu yoyote ile, maana yake umekipa kipaumbele kitu kilichokuzuia kuliko Mungu. Kwa Mungu hakuna kisingizio chochote kile, ukianza kuona visingizio hiyo inakuwa ni sauti ya shetani, kuwa makini.Niwa na mwanangu kwenye ibada

Kutokwenda ibadani kwasababu yoyote ile, maana yake umekipa kipaumbele kitu kilichokuzuia kuliko Mungu. Kwa Mungu hakuna...
22/06/2025

Kutokwenda ibadani kwasababu yoyote ile, maana yake umekipa kipaumbele kitu kilichokuzuia kuliko Mungu. Kwa Mungu hakuna kisingizio chochote kile, ukianza kuona visingizio hiyo inakuwa ni sauti ya shetani, kuwa makini.Hapo nikiwa kwenye ibada na mwanangu.

ISAYA 60:1 Ondoka,Uangaze;kwa kwakuwa nuru yako imekuja,Na utukufu wa Bwana Umekuzukia
17/06/2025

ISAYA 60:1 Ondoka,Uangaze;kwa kwakuwa nuru yako imekuja,Na utukufu wa Bwana Umekuzukia

Tunakukumbuka Mama yetu na Bibi ya watoto wetu leo umetimiza miaka saba toka ulipoondoka katika ulimwengu huu.Pumzika Ma...
14/06/2025

Tunakukumbuka Mama yetu na Bibi ya watoto wetu leo umetimiza miaka saba toka ulipoondoka katika ulimwengu huu.
Pumzika Mama kwa Amani ya Bwana tunaendelea kukuombea kwa Mungu Akuepushe na Adhabu ya kaburi na Akusamehe maovu yako yote ili Mwana wa Adam YESU Atakaporudi kulichukua kanisa lake uwe miongoni mwa watakao fufuliwa kwa unyakuo Mpya wa milele.

Babu priscilla Mungu Akupe maisha mema yenye kimo na hekima ya kumjua Mungu
23/05/2025

Babu priscilla Mungu Akupe maisha mema yenye kimo na hekima ya kumjua Mungu

Baraka toka kwa Mungu
10/05/2025

Baraka toka kwa Mungu

Address

31536
Dar Es Salaam
255

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Gwaky investments ltd posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Gwaky investments ltd:

Shortcuts

Share