Marice Dry Cleaners

Marice Dry Cleaners Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Marice Dry Cleaners, Dry cleaner, mbezi beach, interchick, Dar es Salaam.

DRY CLEANING AND LAUNDRY SERVICE PROVIDERS FOR ALL TYPES OF GARMENTS BASED IN DAR ES SALAAM REGION, WITH ITS MAIN BRANCH AT MBEZI BEACH INTERCHICK ALSO LOCATED AT MIKOCHENI MWINYI RD & MIVUMONI OPP DAWASA

Mashine zetu za kisasa zinazosimamiwa na wataalamu wenye uzoefu mkubwa zipo tayari wakati wote kuhudumia nguo zako kwa u...
27/08/2026

Mashine zetu za kisasa zinazosimamiwa na wataalamu wenye uzoefu mkubwa zipo tayari wakati wote kuhudumia nguo zako kwa ubora.

πŸ“ Matawi yetu:
β€’ Mbezi Beach – Interchick
β€’ Masaki – Opp. Oyster Plaza
β€’ Mikocheni – Mwinyi Road
β€’ Makongo – Ardhi City Mall
β€’ Mivumoni – Opp. DAWASA

πŸ“± Pakua Marice App na uagize huduma kwa urahisi. Ukiweka oda kupitia App, Pick Up & Delivery ni BURE! 🚚✨

πŸ“ž Tupigie: 0759 836 333

Sikukuu njema ya Maulid kwa wateja wetu wa thamani.
25/08/2026

Sikukuu njema ya Maulid kwa wateja wetu wa thamani.

24/08/2026

Wiki mpya imeanza na habari njema kutoka kwa best friend imekufikia πŸ˜…

πŸ“² Marice App inapatikana App Store na Play Store. Pakua sasa na uanze kuitumia. Kumbuka pick up & delivery ni bure kupitia app yetu.

14/08/2026

Ufundi kidogo tayari simu za zinaita πŸ“²

Tupigie 0759 836 333 kwa huduma bora za dry cleaning nasi tutakuhudumia.

12/08/2026

Ukiweka oda kupitia Marice App, huduma ya pick up & delivery ni BURE! 🚚✨

Pakua Marice App leo, weka oda yako kwa urahisi na sisi tutachukua na kukuletea nguo zako bila gharama ya usafirishaji.

Maisha ni rahisi ukiwa na Marice App. Hakuna kwenda mbali, hakuna usumbufu, huduma yako ya laundry iko kwenye simu yako....
10/08/2026

Maisha ni rahisi ukiwa na Marice App. Hakuna kwenda mbali, hakuna usumbufu, huduma yako ya laundry iko kwenye simu yako. πŸ“± Pakua sasa kupitia Play Store au App Store.

Heri ya Nane Nane.Katika kazi na mapumziko, Marice Dry Cleaners tupo kwa ajili yako kuhakikisha nguo zako zinapata hudum...
08/08/2026

Heri ya Nane Nane.

Katika kazi na mapumziko, Marice Dry Cleaners tupo kwa ajili yako kuhakikisha nguo zako zinapata huduma ya kiwango cha juu.

07/08/2026

Teknolojia ya kisasa kwa huduma bora zaidi. Marice tunatumia mashine za kiwango cha juu kuhakikisha nguo zako zinapata usafi na uangalizi unaostahili. Jaribu leo uone utofauti.

πŸ’™ Karibu mwezi wa Agosti!Mwezi mpya unastahili mwanzo mpya. Lete mavazi yako Marice Dry Cleaners na uanze mwezi ukiwa na...
01/08/2026

πŸ’™ Karibu mwezi wa Agosti!

Mwezi mpya unastahili mwanzo mpya. Lete mavazi yako Marice Dry Cleaners na uanze mwezi ukiwa na mwonekano unaokuvutia.

πŸ“ Fika kwenye matawi yetu.
πŸ“ž Tupigie 0759 836 333 kwa huduma ya Pick Up & Delivery.
πŸ“² Tumia Marice App.

Karibu weekend ukiwa na amani ya akili. Achia Marice Dry Cleaners kazi ya kufua, wewe tumia muda wako na familia na mara...
31/07/2026

Karibu weekend ukiwa na amani ya akili.

Achia Marice Dry Cleaners kazi ya kufua, wewe tumia muda wako na familia na marafiki.

πŸ“² Download Marice App leo!

Address

Mbezi Beach, Interchick
Dar Es Salaam
255

Opening Hours

Monday 07:00 - 19:00
Tuesday 07:00 - 19:00
Wednesday 07:00 - 19:00
Thursday 07:00 - 19:00
Friday 07:00 - 19:00
Saturday 07:30 - 19:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Marice Dry Cleaners posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category