builtnotbought_tz

builtnotbought_tz Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from builtnotbought_tz, Auto Detailing Service, Dar es Salaam.

12/08/2026

🚘✨ TOYOTA PRADO 120 β€” BACK TO PERFECTION! ✨🚘

Leo tumepokea Prado 120 kwa ajili ya decoration ya taa pamoja na full service kuhakikisha kila kitu kipo kwenye hali bora. πŸ”§πŸ’―

Muonekano mpya, performance bora β€” tunahakikisha gari lako linatoka hapa likiwa ready for the road! πŸ› οΈπŸ”₯

πŸ“ Alta Auto Hub
AltaAutoHub DarEsSalaam

11/08/2026

πŸš™ RANGE ROVER SUSPENSION REFRESH β€” DONE RIGHT! πŸ”§

Ranger Rover hii imefanyiwa full suspension bush replacement
β€” bush zote zilizokuwa zimechoka tumebadilisha na kurejesha mfumo wa suspension katika hali yake bora. πŸ’―

βœ… Suspension bushes replacement
βœ… Inspection ya suspension system
βœ… Removal ya play & unwanted noises
βœ… Improved stability & driving comfort

☎️+255786375436

Gari lako likianza kutoa kelele, kugonga, vibration au kuonekana kutokuwa stable, usisubiri tatizo likue.

πŸ“ Alta Auto Hub β€” Tunarejesha performance ya gari lako k**a inavyotakiwa. πŸ› οΈ

LandRover AutoRepair DarEsSalaam CarCare GarageTanzania

30/07/2026

πŸš— Your Car Deserves the Best Care. πŸ”§

Karibu Alta Auto Hub kwa huduma za kitaalamu za matengenezo na uchunguzi wa magari.

Tunahudumia kwa umakini na kutumia vifaa vya kisasa kuhakikisha gari lako linarudi barabarani likiwa katika hali bora.

βœ… Computer Diagnosis
βœ… Engine Service & Repair
βœ… Brake Service
βœ… Suspension & Steering
βœ… Oil & Filter Change
βœ… Transmission Service
βœ… Air Conditioning Service
βœ… Electrical Diagnostics

πŸ“ Tunathamini ubora, uaminifu na huduma bora kwa kila mteja.

☎️+255786375436

Weka miadi nasi leo na ulipe gari lako huduma linayostahili.

BMW LandRover RangeRover Audi Volkswagen DarEsSalaam Tanzania

26/07/2026

πŸš— Karibu Alta Auto Hub – Mahali Ambapo Gari Lako Linapata Huduma Bora! πŸ”§

Tunajivunia kutoa huduma za kitaalamu kwa magari ya aina mbalimbali, hasa European vehicles.

βœ… Computer Diagnostics (Original Scanners)
βœ… Engine Repair & Overhaul
βœ… Gearbox Diagnosis & Repair
βœ… Suspension & Steering
βœ… Brake System Service
βœ… Oil Change & Routine Maintenance
βœ… Electrical & Electronic Diagnosis
βœ… Air Conditioning (A/C) Service
βœ… Programming & Coding
βœ… Genuine Spare Parts & Installation

Tunafanya kazi kwa umakini, uaminifu na kutumia vifaa vya kisasa kuhakikisha gari lako linarudi barabarani likiwa katika hali bora.

πŸ“ Karibu Alta Auto Hub
πŸ“ž Wasiliana nasi kwa miadi au maelezo zaidi.

☎️ +255786375436

β€œYour Car, Our Priority.”

LandRover RangeRover Audi Volkswagen AutoRepair Mechanic DarEsSalaam

18/07/2026

Expensive hobbies..😁

Alta auto hub Alta Motors Euro parts

09/07/2026

πŸ”§ Alta Auto Hub

Expert Diagnostics β€’ Precision Repairs β€’ Trusted Service.

πŸ“… Book your appointment early to avoid delays.

πŸ“ Dar es Salaam

πŸ“ž Contact us today and let our experts take care of your vehicle.
☎️ +255786375436

EuropeanCars LandRover BMW MercedesBenz Audi Volkswagen DarEsSalaam

08/07/2026

πŸ‘€ 360Β° Surround Camera kwenye New Defender!

Mfumo huu hutumia kamera zilizopo mbele, nyuma na pembeni kuonyesha mwonekano wa gari zima kwa wakati halisi.

Unarahisisha kuegesha,kupita kwenye nafasi finyu na kuona maeneo ambayo huwezi kuyaona kwa macho.

Alta auto hub

Teknolojia inayoongeza usalama na kujiamini kila unapokuwa barabarani. πŸš™βœ¨

CarTech AutoTechnology

29/06/2026
27/06/2026

Book your service appointment early ☎️+255786375436

Alta auto hub

20/06/2026

Maduka ya Sinza na Makumbusho πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ siyaelewi kwa kweli …

Alta auto hub

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when builtnotbought_tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share