All follow is 🫰🏾Majani record studio Umbeya kwetu tvJicho la BubuLes motivés des Visionnaire Team Klm Maulid Kitenge Ayotv Tanzanite Tanzania Robinio Mundibu Umbea.com
25/09/2024
08/08/2024
Mungu wa sisi yatima ndio anajuwa ametutowa wapi na atatulea Vipi jamani huyu kijana pia yatima mwanzangu naona K**a ni Mimi hapo tu kwa sababu miaka yake hii hii ndio nilivyo achiwa na wazazi wangu 💔😭 hii nikitu ambacho uwa nakiona kukaaa kwangu milele na milele ila mungu Leo Katupa eshima hooo mungu wa yatima mungu wetu sisi uliona ni vema tusiwe karibu na upendo wawazazi wetu mujalie huyu kijana wafunguwe watu mioyo Yao wamusaidie pia Allahumaa Amin 🤲🏾🤲🏾🤲🏾😭😭😭
Be the first to know and let us send you an email when Majani record studio posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.