11/02/2026
"Kila mteja wetu anastahili mazingira yanayong'aa! ✨
Iwe ni nyumbani au ofisini, timu ya AS CLEAN CONCEPTS imejipanga kukupa huduma ya kipekee, kwa wakati, na kwa bei nafuu.
Usiache vumbi likuendeshe, tupigie leo: 0770542942 💜
OFA MAALUM YA USAFI WA OFISI (STARTER PACKAGE)
Tunatoa huduma ya usafi wa kina kwa chumba kimoja cha ofisi kwa gharama ya kuanzia TSh 300,000 tu kwa mwezi.