jimmynkwabi_tz

jimmynkwabi_tz Kontaktinformation, kartor och vägbeskrivningar, kontaktformulär, öppettider, tjänster, betyg, foton, videor och meddelanden från jimmynkwabi_tz, Jönköping.

Katika Nkwabi Integrated Farms tumepanda kiasi kidogo cha Malisho aina ya Elephant glass na Chloris Gayana..Katika ufuga...
18/08/2026

Katika Nkwabi Integrated Farms tumepanda kiasi kidogo cha Malisho aina ya Elephant glass na Chloris Gayana..Katika ufugaji tofauti na uwepo wa maji safi na salama na ya uhakika; Chakula ni Jambo lingine muhimu.
Kwa Bahati nzuri tumepata maji ya shamba Safi kabisa Kwaajili ya wanyama wetu wajao!!. Bado maandalizi yanaendelea.

Dr. Kessy, J.A Wasafi FM Hussein Mohammed Bashe Baba Levo Simba Sports Club Young Africans Sports Club Bingwa Wa Magari Company Limited JOACK Mifugo Tz wizarayamifugonauvuvi Wizara ya Kilimo nzegafarm

Katika Mradi wa Ufugaji, Maji ni Jambo la msingi kuliko vitu vingine. Hapa tumeanza Kwa kuweka Vyanzo vya kudumu vya maj...
16/08/2026

Katika Mradi wa Ufugaji, Maji ni Jambo la msingi kuliko vitu vingine. Hapa tumeanza Kwa kuweka Vyanzo vya kudumu vya maji ( Bomba na Kisima). Pia ujenzi wa nyumba kijana wa kazi unaendelea.....stay tight with me!! # nkwabiintegrated farms Hussein Mohammed Bashe Robert Buluba MTIMBI FARMS AND AGRIVERT TZ Ibrah Farm

FARM PREPARATION
12/08/2026

FARM PREPARATION

18/07/2026

Love 💕

22/04/2026

Sweden ✔️

Adress

Jönköping

Webbplats

Aviseringar

Var den första att veta och låt oss skicka ett mail när jimmynkwabi_tz postar nyheter och kampanjer. Din e-postadress kommer inte att användas för något annat ändamål, och du kan när som helst avbryta prenumerationen.

Genvägar

Dela